

Lugha Nyingine
Awamu ya 2 ya Maonyesho ya Canton yafunguliwa Guangzhou, Kusini mwa China
![]() |
Bidhaa ya mapambo ya mwanga ikionekana katika picha kwenye awamu ya pili ya Maonyesho ya 134 ya Canton huko Guangzhou, Mkoani Guangdong, Kusini mwa China, Oktoba 23, 2023. (Xinhua/Deng Hua) |
Awamu ya pili ya Maonyesho ya 134 ya Uagizaji na Uuzaji nje Bidhaa ya China, ambayo pia yanajulikana kwa jina la Canton Fair, imefunguliwa Mjini Guangzhou, Mkoani Guangdong, Kusini mwa China siku ya Jumatatu na itaendelea hadi Oktoba 27.
Maonyesho hayo ambayo yanachukua jumla ya eneo la maonyesho lenye ukubwa wa mita za mraba 515,000, yanajikita katika bidhaa za nyumbani, zawadi na mapambo, vifaa vya ujenzi na samani.
Kutalii Hifadhi ya Taifa ya Nairobi nchini Kenya kupitia lenzi ya kamera
Habari Picha: Watu wakitembelea Mlima Huashan katika Mkoa Shaanxi, Kaskazini Magharibi mwa China
Mandhari ya Ziwa Kanas katika Eneo la Altay, Mkoa wa Xinjiang, China wakati wa majira ya mpukutiko
Katika Picha: Mandhari ya magenge kwenye Mto Manjano huko Henan, China
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma