<form id="9przj"></form>

   <form id="9przj"><th id="9przj"><th id="9przj"></th></th></form>

   <form id="9przj"></form>

   <noframes id="9przj"><form id="9przj"></form>

   Vijiji 4 vya China vyatajwa na Shirika la Utalii Duniani la Umoja wa Mataifa kuwa "Vijiji Bora vya Utalii"

   (Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 20, 2023

   Picha hii iliyopigwa kutoka angani Julai 3, 2023 ikionyesha mandhari ya Kijiji cha Xiajiang cha Wilaya ya Chun'an, Mkoa wa Zhejiang, Mashariki mwa China. (Xinhua/Weng Xinyang)

   Picha hii iliyopigwa kutoka angani Julai 3, 2023 ikionyesha mandhari ya Kijiji cha Xiajiang cha Wilaya ya Chun'an, Mkoa wa Zhejiang, Mashariki mwa China. (Xinhua/Weng Xinyang)

   BEIJING - Katika tangazo lake jipya la hivi punde la Shirika la Utalii Duniani la Umoja wa Mataifa (UNWTO), vijiji vinne vya China vimeshinda nafasi ya kutamaniwa kwenye orodha ya "Vijiji Bora vya Utalii" duniani kwa Mwaka 2023.

   Vijiji hivyo ni Kijiji cha Huangling katika Mkoa wa Jiangxi, Kijiji cha Xiajiang katika Mkoa wa Zhejiang, Kijiji cha Zhagana katika Mkoa wa Gansu, na Kijiji cha Zhujiawan katika Mkoa wa Shaanxi. Uamuzi huo umetangazwa kwenye Mkutano wa 25 wa Baraza Kuu la UNWTO huko Samarkand, Uzbekistan, siku ya Alhamisi kwa saa za huko.

   Nchi ya China sasa kuna vijiji vinane kwenye orodha hiyo, idadi hiyo ambayo ni kubwa zaidi kuliko ile ya nchi nyingine yoyote duniani.

   UNWTO ilianza uteuzi wa "Vijiji Bora vya Utalii" Mwaka 2021. Mwaka huu, nchi 63 ziliwasilisha maombi 258, ambapo vijiji 54 kutoka nchi 32 ndivyo pekee vimefanikiwa kujumuishwa kwenye orodha hiyo kwa mwaka huu.

   (Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

   Picha

   亚洲乱亚洲乱妇24p-JK白丝极品被CAO到流水呻吟-国产精品日韩欧美一区二区三区-欧美老熟妇牲交

   <form id="9przj"></form>

     <form id="9przj"><th id="9przj"><th id="9przj"></th></th></form>

     <form id="9przj"></form>

     <noframes id="9przj"><form id="9przj"></form>