<form id="9przj"></form>

      <form id="9przj"><th id="9przj"><th id="9przj"></th></th></form>

      <form id="9przj"></form>

      <noframes id="9przj"><form id="9przj"></form>

      Mkutano wa Kimataifa wa Viwanda vinavyotumia Intaneti Mwaka 2023 wafunguliwa Shenyang, China (4)

      (Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 19, 2023
      Mkutano wa Kimataifa wa Viwanda vinavyotumia Intaneti Mwaka 2023 wafunguliwa Shenyang, China
      Washiriki wakitembelea mradi wa mfumo wa udhibiti wa kiotomatiki wa viwanda wa teknolojia ya 5G katika Mkutano wa Kimataifa wa Viwanda vinavyotumia Intaneti Mwaka 2023, huko Shenyang, Mkoa wa Liaoning, China, Oktoba 18.

      Mkutano wa Kimataifa wa Viwanda vinavyotumia Intaneti Mwaka 2023 umefunguliwa Shenyang, Mji Mkuu wa Mkoa wa Liaoning, Kaskazini Mashariki mwa China, Oktoba 18, 2023 . Ukifanyika chini ya kaulimbiu ya "Kuhimiza kwa nguvu Viwanda Vipya na Kujenga Uzalishaji Mpya", mkutano huo unalenga kukuza maendeleo ya utengenezaji wa bidhaa viwandani ambayo yanatumia teknolojia za akili bandia, njia bila kuchafua mazingira, na yaliyounganishwa. Mkutano huo umeandaa eneo la maonyesho ya mafanikio ya ubunifu lenye ukubwa wa mita za mraba 20,000, linalojikita katika mafanikio mapya zaidi katika maendeleo ya viwanda vinavyotumia mtandao wa intaneti. (Xinhua/Chenwei)

      (Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

      Picha

      亚洲乱亚洲乱妇24p-JK白丝极品被CAO到流水呻吟-国产精品日韩欧美一区二区三区-欧美老熟妇牲交

      <form id="9przj"></form>

          <form id="9przj"><th id="9przj"><th id="9przj"></th></th></form>

          <form id="9przj"></form>

          <noframes id="9przj"><form id="9przj"></form>