<form id="9przj"></form>

      <form id="9przj"><th id="9przj"><th id="9przj"></th></th></form>

      <form id="9przj"></form>

      <noframes id="9przj"><form id="9przj"></form>

      Bandari ya Qinzhou Kusni mwa China: kituo muhimu cha kisasa cha kimataifa kando ya ukanda wa biashara ya nchi kavu na majini

      (Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 13, 2023
      Bandari ya Qinzhou Kusni mwa China: kituo muhimu cha kisasa cha kimataifa kando ya ukanda wa biashara ya nchi kavu na majini
      Picha hii iliyopigwa kutoka angani Oktoba 3, 2023 ikionyesha Bandari ya Qinzhou huko Qinzhou, Mkoa unaojiendesha wa Kabila la Wazhuang wa Guangxi, Kusini mwa China. (Xinhua/Zhou Hua)

      Ikiwa ilianza kama kijiji kidogo cha wavuvi Mwaka 1992, Bandari ya Qinzhou katika Mkoa unaojiendesha wa Kabila la Wazhuang wa Guangxi, Kusini mwa China imejengwa kuwa kituo cha kisasa cha kimataifa kando ya Ukanda Mpya wa Biashara wa Nchi kavu na Majini baada ya miaka 30 ya maendeleo. Kituo cha kontena cha kiotomatiki kwa ajili ya huduma za muunganisho wa reli na bahari kimejengwa katika Bandari hiyo, pamoja na nguzo ya viwanda inayostawi katika Eneo la Majaribio la Biashara Huria la China (Guangxi) la Bandari ya Qinzhou.

      Kwa sasa, Bandari ya Qinzhou imeshuhudia uendeshaji wa kila siku wa treni za kontena na kuendeleza muunganisho wake na treni za mizigo za usafiri wa China-Ulaya. Imefungua zaidi ya njia 60 za kontena za ndani na nje ya China, ambazo hufikia miji 61 nchini China na kufikia bandari 393 katika nchi na maeneo 119 duniani kote, kwa ajili ya usafirishaji wa bidhaa zaidi ya aina 940.

      (Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

      Picha

      亚洲乱亚洲乱妇24p-JK白丝极品被CAO到流水呻吟-国产精品日韩欧美一区二区三区-欧美老熟妇牲交

      <form id="9przj"></form>

          <form id="9przj"><th id="9przj"><th id="9przj"></th></th></form>

          <form id="9przj"></form>

          <noframes id="9przj"><form id="9przj"></form>