DAR ES SALAAM - Balozi wa China nchini Tanzania, Chen Mingjian, amesema China inatarajia kuendelea kuhimiza ushirikiano wa Ukanda Mmoja, Njia Moja na Tanzania, ili kwa pamoja kuendeleza mustakabali mzuri wa baadaye wa maendeleo ya kisasa.
Balozi Chen ameyasema hayo kwenye mkutano na wanahabari jijini Dar es Salaam, Tanzania, ambapo aliwasilisha taarifa ya matokeo ya Mkutano wa Baraza la Tatu la Ushirikiano wa Kimataifa wa Ukanda Mmoja, Njia Moja uliofanyika Beijing, China uliofanyika Beijing, China wiki iliyopita.…
"Kupika chai kwa stovu" ni mojawapo ya njia maarufu zaidi za kunywa chai katika majira ya mpukutiko na ya baridi nchini China. Waandishi wa habari kutoka nchi za eneo la Eurasia pia wamealikwa kujiunga na shughuli hii.…
Mradi wa Mabadilishano ya Vijana wa "Ukanda Mmoja, Njia Moja" umefanyika katika Mkoa wa Guizhou, Kusini Magharibi mwa China siku ya Alhamisi, Oktoba 26 ambapo Shughuli ya Vyombo vya Habari vya nchi za Eurasia kuutangaza Mkoa wa Guizhou imezinduliwa.
Shughuli hiyo inawaalika waandishi wa habari kutoka nchi 10 zinazoshiriki kwenye kujenga kwa pamoja "Ukanda Mmoja, Njia Moja" kutembelea Guizhou kusimulia simulizi za Guizhou, kueneza sauti ya Guizhou, kuonyesha taswira ya Guizhou, na kufanya vizuri mawasiliano ya kimataifa ya Maendeleo ya Kisasa ya Guizhou yenye mtindo wa China.…
GUIYANG - Idara ya Uenezi ya Kamati ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) ya Mkoa wa Guizhou na Gazeti la People's Daily Mtandaoni kwa pamoja wamefanya Kongamano la Mabadilishano ya Mawasiliano ya Kimataifa kuhusu "Kueleza Simulizi ya Guizhou kwa Dunia" na wakati huo huo kuzindua Mradi wa Mabadilishano ya Vijana wa "Ukanda Mmoja, Njia Moja" kwenye Shughuli ya Vyombo vya Habari vya nchi za Eurasia kuutangaza Mkoa wa Guizhou.
Chen Benrong, Naibu Mkurugenzi wa Idara ya Uenezi ya Kamati ya CPC ya Mkoa wa Guizhou na Tang Weihong, Mwenyekiti wa Bodi ya Wasimamizi wa Gazeti la People's Daily Mtandaoni, walitoa hotuba kwenye kongamano hilo.…
Baraza la 3 la Ushirikiano wa Kimataifa wa “Ukanda Mmoja, Njia Moja”(BRF)utafanyika Beijing kuanzia Oktoba 17 hadi 18.…
Mwaka huu unasadifiana na miaka kumi tangu pendekeo la ujenzi wa pamoja wa "Ukanda Mmoja, Njia Moja" litolewe. Katika miaka kumi iliyopita, ushirikiano chini ya Pendekezo la "Ukanda Mmoja, Njia Moja" umepata mafanikio mengi, na mfululizo wa miradi alama imekamilika kusaidia maendeleo ya nchi mbalimbali na kuleta manufaa halisi kwa watu wa nchi zote.…
Oktoba 3, 2013, China ilitoa pendekezo la kujenga kwa pamoja Njia ya Hariri ya Baharini ya Karne ya 21. Pendekezo hilo pamoja na lile la Ukanda wa Kiuchumi wa Njia ya Hariri, lililotolewa na China mwaka huo huo yameunda “Ukanda Mmoja, Njia Moja”, na kufungua ukurasa mpya katika ushirikiano wa kimataifa.…
Mwaka 2017, reli ya SGR, iliyojengwa na kuendeshwa na Shirika la Ujenzi wa Barabara na Daraja la China, ilifunguliwa rasmi kwa matumizi ya umma. Ikiwa ni reli ya kwanza kujengwa tangu Kenya ipate uhuru wake, reli hiyo inatembea umbali wa kilomita 480 kati ya mji mkuu wa Kenya, Nairobi na mji wa bandari wa Mombasa.…
DAR ES SALAAM - Balozi wa China nchini Tanzania, Chen Mingjian, amesema China inatarajia kuendelea kuhimiza ushirikiano wa Ukanda Mmoja, Njia Moja na Tanzania, ili kwa pamoja kuendeleza mustakabali mzuri wa baadaye wa maendeleo ya kisasa.
Balozi Chen ameyasema hayo kwenye mkutano na wanahabari jijini Dar es Salaam, Tanzania, ambapo aliwasilisha taarifa ya matokeo ya Mkutano wa Baraza la Tatu la Ushirikiano wa Kimataifa wa Ukanda Mmoja, Njia Moja uliofanyika Beijing, China uliofanyika Beijing, China wiki iliyopita.…
"Kupika chai kwa stovu" ni mojawapo ya njia maarufu zaidi za kunywa chai katika majira ya mpukutiko na ya baridi nchini China. Waandishi wa habari kutoka nchi za eneo la Eurasia pia wamealikwa kujiunga na shughuli hii.…
Mradi wa Mabadilishano ya Vijana wa "Ukanda Mmoja, Njia Moja" umefanyika katika Mkoa wa Guizhou, Kusini Magharibi mwa China siku ya Alhamisi, Oktoba 26 ambapo Shughuli ya Vyombo vya Habari vya nchi za Eurasia kuutangaza Mkoa wa Guizhou imezinduliwa.
Shughuli hiyo inawaalika waandishi wa habari kutoka nchi 10 zinazoshiriki kwenye kujenga kwa pamoja "Ukanda Mmoja, Njia Moja" kutembelea Guizhou kusimulia simulizi za Guizhou, kueneza sauti ya Guizhou, kuonyesha taswira ya Guizhou, na kufanya vizuri mawasiliano ya kimataifa ya Maendeleo ya Kisasa ya Guizhou yenye mtindo wa China.…
GUIYANG - Idara ya Uenezi ya Kamati ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) ya Mkoa wa Guizhou na Gazeti la People's Daily Mtandaoni kwa pamoja wamefanya Kongamano la Mabadilishano ya Mawasiliano ya Kimataifa kuhusu "Kueleza Simulizi ya Guizhou kwa Dunia" na wakati huo huo kuzindua Mradi wa Mabadilishano ya Vijana wa "Ukanda Mmoja, Njia Moja" kwenye Shughuli ya Vyombo vya Habari vya nchi za Eurasia kuutangaza Mkoa wa Guizhou.
Chen Benrong, Naibu Mkurugenzi wa Idara ya Uenezi ya Kamati ya CPC ya Mkoa wa Guizhou na Tang Weihong, Mwenyekiti wa Bodi ya Wasimamizi wa Gazeti la People's Daily Mtandaoni, walitoa hotuba kwenye kongamano hilo.…
DAR ES SALAAM - Balozi wa China nchini Tanzania, Chen Mingjian, amesema China inatarajia kuendelea kuhimiza ushirikiano wa Ukanda Mmoja, Njia Moja na Tanzania, ili kwa pamoja kuendeleza mustakabali mzuri wa baadaye wa maendeleo ya kisasa.
Balozi Chen ameyasema hayo kwenye mkutano na wanahabari jijini Dar es Salaam, Tanzania, ambapo aliwasilisha taarifa ya matokeo ya Mkutano wa Baraza la Tatu la Ushirikiano wa Kimataifa wa Ukanda Mmoja, Njia Moja uliofanyika Beijing, China uliofanyika Beijing, China wiki iliyopita.…
"Kupika chai kwa stovu" ni mojawapo ya njia maarufu zaidi za kunywa chai katika majira ya mpukutiko na ya baridi nchini China. Waandishi wa habari kutoka nchi za eneo la Eurasia pia wamealikwa kujiunga na shughuli hii.…
Mradi wa Mabadilishano ya Vijana wa "Ukanda Mmoja, Njia Moja" umefanyika katika Mkoa wa Guizhou, Kusini Magharibi mwa China siku ya Alhamisi, Oktoba 26 ambapo Shughuli ya Vyombo vya Habari vya nchi za Eurasia kuutangaza Mkoa wa Guizhou imezinduliwa.
Shughuli hiyo inawaalika waandishi wa habari kutoka nchi 10 zinazoshiriki kwenye kujenga kwa pamoja "Ukanda Mmoja, Njia Moja" kutembelea Guizhou kusimulia simulizi za Guizhou, kueneza sauti ya Guizhou, kuonyesha taswira ya Guizhou, na kufanya vizuri mawasiliano ya kimataifa ya Maendeleo ya Kisasa ya Guizhou yenye mtindo wa China.…
GUIYANG - Idara ya Uenezi ya Kamati ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) ya Mkoa wa Guizhou na Gazeti la People's Daily Mtandaoni kwa pamoja wamefanya Kongamano la Mabadilishano ya Mawasiliano ya Kimataifa kuhusu "Kueleza Simulizi ya Guizhou kwa Dunia" na wakati huo huo kuzindua Mradi wa Mabadilishano ya Vijana wa "Ukanda Mmoja, Njia Moja" kwenye Shughuli ya Vyombo vya Habari vya nchi za Eurasia kuutangaza Mkoa wa Guizhou.
Chen Benrong, Naibu Mkurugenzi wa Idara ya Uenezi ya Kamati ya CPC ya Mkoa wa Guizhou na Tang Weihong, Mwenyekiti wa Bodi ya Wasimamizi wa Gazeti la People's Daily Mtandaoni, walitoa hotuba kwenye kongamano hilo.…
DAR ES SALAAM - Balozi wa China nchini Tanzania, Chen Mingjian, amesema China inatarajia kuendelea kuhimiza ushirikiano wa Ukanda Mmoja, Njia Moja na Tanzania, ili kwa pamoja kuendeleza mustakabali mzuri wa baadaye wa maendeleo ya kisasa.
Balozi Chen ameyasema hayo kwenye mkutano na wanahabari jijini Dar es Salaam, Tanzania, ambapo aliwasilisha taarifa ya matokeo ya Mkutano wa Baraza la Tatu la Ushirikiano wa Kimataifa wa Ukanda Mmoja, Njia Moja uliofanyika Beijing, China uliofanyika Beijing, China wiki iliyopita.…
"Kupika chai kwa stovu" ni mojawapo ya njia maarufu zaidi za kunywa chai katika majira ya mpukutiko na ya baridi nchini China. Waandishi wa habari kutoka nchi za eneo la Eurasia pia wamealikwa kujiunga na shughuli hii.…
Mradi wa Mabadilishano ya Vijana wa "Ukanda Mmoja, Njia Moja" umefanyika katika Mkoa wa Guizhou, Kusini Magharibi mwa China siku ya Alhamisi, Oktoba 26 ambapo Shughuli ya Vyombo vya Habari vya nchi za Eurasia kuutangaza Mkoa wa Guizhou imezinduliwa.
Shughuli hiyo inawaalika waandishi wa habari kutoka nchi 10 zinazoshiriki kwenye kujenga kwa pamoja "Ukanda Mmoja, Njia Moja" kutembelea Guizhou kusimulia simulizi za Guizhou, kueneza sauti ya Guizhou, kuonyesha taswira ya Guizhou, na kufanya vizuri mawasiliano ya kimataifa ya Maendeleo ya Kisasa ya Guizhou yenye mtindo wa China.…
GUIYANG - Idara ya Uenezi ya Kamati ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) ya Mkoa wa Guizhou na Gazeti la People's Daily Mtandaoni kwa pamoja wamefanya Kongamano la Mabadilishano ya Mawasiliano ya Kimataifa kuhusu "Kueleza Simulizi ya Guizhou kwa Dunia" na wakati huo huo kuzindua Mradi wa Mabadilishano ya Vijana wa "Ukanda Mmoja, Njia Moja" kwenye Shughuli ya Vyombo vya Habari vya nchi za Eurasia kuutangaza Mkoa wa Guizhou.
Chen Benrong, Naibu Mkurugenzi wa Idara ya Uenezi ya Kamati ya CPC ya Mkoa wa Guizhou na Tang Weihong, Mwenyekiti wa Bodi ya Wasimamizi wa Gazeti la People's Daily Mtandaoni, walitoa hotuba kwenye kongamano hilo.…
DAR ES SALAAM - Balozi wa China nchini Tanzania, Chen Mingjian, amesema China inatarajia kuendelea kuhimiza ushirikiano wa Ukanda Mmoja, Njia Moja na Tanzania, ili kwa pamoja kuendeleza mustakabali mzuri wa baadaye wa maendeleo ya kisasa.
Balozi Chen ameyasema hayo kwenye mkutano na wanahabari jijini Dar es Salaam, Tanzania, ambapo aliwasilisha taarifa ya matokeo ya Mkutano wa Baraza la Tatu la Ushirikiano wa Kimataifa wa Ukanda Mmoja, Njia Moja uliofanyika Beijing, China uliofanyika Beijing, China wiki iliyopita.
"Kupika chai kwa stovu" ni mojawapo ya njia maarufu zaidi za kunywa chai katika majira ya mpukutiko na ya baridi nchini China. Waandishi wa habari kutoka nchi za eneo la Eurasia pia wamealikwa kujiunga na shughuli hii.
Mradi wa Mabadilishano ya Vijana wa "Ukanda Mmoja, Njia Moja" umefanyika katika Mkoa wa Guizhou, Kusini Magharibi mwa China siku ya Alhamisi, Oktoba 26 ambapo Shughuli ya Vyombo vya Habari vya nchi za Eurasia kuutangaza Mkoa wa Guizhou imezinduliwa.
Shughuli hiyo inawaalika waandishi wa habari kutoka nchi 10 zinazoshiriki kwenye kujenga kwa pamoja "Ukanda Mmoja, Njia Moja" kutembelea Guizhou kusimulia simulizi za Guizhou, kueneza sauti ya Guizhou, kuonyesha taswira ya Guizhou, na kufanya vizuri mawasiliano ya kimataifa ya Maendeleo ya Kisasa ya Guizhou yenye mtindo wa China.
GUIYANG - Idara ya Uenezi ya Kamati ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) ya Mkoa wa Guizhou na Gazeti la People's Daily Mtandaoni kwa pamoja wamefanya Kongamano la Mabadilishano ya Mawasiliano ya Kimataifa kuhusu "Kueleza Simulizi ya Guizhou kwa Dunia" na wakati huo huo kuzindua Mradi wa Mabadilishano ya Vijana wa "Ukanda Mmoja, Njia Moja" kwenye Shughuli ya Vyombo vya Habari vya nchi za Eurasia kuutangaza Mkoa wa Guizhou.
Chen Benrong, Naibu Mkurugenzi wa Idara ya Uenezi ya Kamati ya CPC ya Mkoa wa Guizhou na Tang Weihong, Mwenyekiti wa Bodi ya Wasimamizi wa Gazeti la People's Daily Mtandaoni, walitoa hotuba kwenye kongamano hilo.